Mtoto_wa_G New Member Joined Sep 14, 2016 Posts 2 Reaction score 1 Sep 15, 2016 #1 Niaje wadau, nahitaji mawazo yenu, nataka kuanza kuuza maziwa FRESH ya Ng'ombe. Soko lake mnalionaje ukizingatia kuna substitute za Bakhresa na Tanga FRESH. Tafadhali ongea pointi sio kubwabwaja..
Niaje wadau, nahitaji mawazo yenu, nataka kuanza kuuza maziwa FRESH ya Ng'ombe. Soko lake mnalionaje ukizingatia kuna substitute za Bakhresa na Tanga FRESH. Tafadhali ongea pointi sio kubwabwaja..