Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Habari
Jamani nataka kuanza kufanya scrub, nina uso wa mafuta hivyo basi ningependa kujua vitu gani vya kuzingatia ili niwe na matokeo mazuri.
Na je, ni salama kufanya katika saluni zetu hizi za buku mbili mbili za mtaani au ni vizuri niwe nafanya kwenye saluni kubwa za bei?