mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
inatesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda ni mrefu sana tangu uondokewe na mazazi wako. Muone mwanasheria maana time limitation inaweza kukupa shida. Sijui utakuwa unadai nini toka kwa nani na katika hali gani. Ishu yako siyo simple muone mwanasheria.Habari Zenu! Ni mirathi narekebisha
Wana JF kwanza nashukuru kwa uwepo wenu na uwepo wenu ni mchango mkuu kwangu kwani nimekuwa na kipindi kigumu sana kuondokewa na mpenzi Mzazi wangu.
Wakati wa uhai wake(mzazi) tangu miaka ya 80 alikuwa mtumishi serikalini, na sasa nataka nianze ufwatiliaji wa mirathi.
Tayari ninazo taarifa ya kikao cha wanandugu. ambapo wanandg wasiopungua 20 tumekaa na kuandika makubaliano, sahihi kila mmja ameweka..
Nina taarifa kuwa mirathi inakaa sana hadi kuipata, naomba njia nyepesi, ili yote na usumbufu wowote ule upungue.
wanasheria, wanajanvi wenye uzoefu wa mambo haya naomba msaada wenu,
Wapi nianzie na tips mbalimbali kuliendea jambo hili kwa kuwa mimi ndiye nilochaguliwa kufatilia mirathi.
Asanteni sana
Mwanajamvi
Muda ni mrefu sana tangu uondokewe na mazazi wako. Muone mwanasheria maana time limitation inaweza kukupa shida. Sijui utakuwa unadai nini toka kwa nani na katika hali gani. Ishu yako siyo simple muone mwanasheria.
hapana mirathi inashuhulikiwa wakati wowote.....kusumbua inasumbua tu kwa kutaka kwao rushwa hawa watumishi wetu wa idara za mahakama,siply chukukua hizo minutes za vikao vya familia,ambatanisha na cheti cha kifo (death certificate),pamoja na picha na barua za family member....i.e mjane,watoto.....kasha anzia mahakama ya wilaya,deteil za bank accounts etc....itakwenda tu,sema vijamaa vina urasimu wa hali ya chini sana.....
Ningeomba kufahamishwa hapa kwenye miaka 12,kama imepita toka marehemu afe,ikiwa ardhi au nyumba iko mikononi mwa mtu mwingine,hiwezekani kukurudishia kisheria?You are right kuwa mirathi nashughulikiwa wakati wowote. lakini lazima uangalie unafungua mirathi kukusanya nini na baada ya muda gani. kwa mfano (take this as an example) kama ni ardhi aliacha mzazi wako iko mikononi mwa mtu, kutoka 1980 mpaka leo without interruption na bila conditionalities, 12 yrs limitation itakusumbua kuipata akiamua kutokuwa muungwana- kila item ina limitation katika kudai ndio maana namshauri amuone mwanasheria. I am speaking this from personal court litigation experience. Unaweza kufungua lakini hivyo vitu vya mirathi utavipata?