Ngoja waje wenye manywele yao mkuu...lakini kabla hujafahamishwa,je unajua aina ya nywele uliyo nayo??
Karibu sana mkuu katika huu utanashati. Unaweza tumia Mafuta ya Olive, Afro america black
Ni nywele zipi unataka kufuga boss? Maana watu wanaweza changia tu bila kujua kinaga ubaga.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi uweke ruff dredz. Ukiwa na muonekano huo mkoani kilimanjaro utajiweka katika nafasi nzuri ya kupata watashaSijawahi kufuga nywele japo kwa muda sasa nlikua natamani ila sasa naona ni wakati muafaka kufanya hivyo.
Ni katika kubadili tu muonekano na kufanya kijana kua smart zaidi siunajua tena.
Sasa before sijachukua maamuzi yoyote nimeleta kwenu mada hii kuomba ushauri kama ilivyo ada kwa wanajamii wa jamiiforums kushauriana naomba mnisaidie techniques, tips, do's and don't do's kwenye huu utanashati mpya naotaka kuuanza.
Mafuta gani mazuri ya nywele kutumia kwa mwanaume, shampoos, natakiwa kuhudhuria mara ngapi saluni kuchonga nywele ziwe fresh na mengineyo karibuni wadau.
WAKATI wenzio wanafuga KUKU au NG'OMBE wapate MAZIWA,,NYAMA,,NA MAYAI wewe unafuga MANYWELE....yatakusaidia n hayo MKUU?sanasana utabadilishwa Nina na kuitwa MKUU MANYWELE..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilizoea kufuga nywele ila siku nilivyonyoa ilibidi nifanye kazi ya kuanza kujitambulisha upya maana watu walikuwa hawajui kama ndio Mimi,tangia hapo si shave nywele kipumbavu
Sent by Diaspora
Kaka hongera kwa kujibu maswali ya kuzushi mm huwa nawajibu Otea au chagua[emoji23]
Duh!!!WAKATI wenzio wanafuga KUKU au NG'OMBE wapate MAZIWA,,NYAMA,,NA MAYAI wewe unafuga MANYWELE....yatakusaidia n hayo MKUU?sanasana utabadilishwa Nina na kuitwa MKUU MANYWELE..
Sent using Jamii Forums mobile app