Nataka kuanza kufuga nywele. Naombeni tips wazoefu kwenye huu utanashati!

Mimi nilizoea kufuga nywele ila siku nilivyonyoa ilibidi nifanye kazi ya kuanza kujitambulisha upya maana watu walikuwa hawajui kama ndio Mimi,tangia hapo si shave nywele kipumbavu

Sent by Diaspora
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mafuta...duke jelly and duke lotion....zikiwa ndefu kidogo anza kutumia parachute au olive oil au castor oil,,kuosha ni mara moja kwa wiki...
alafu unafanya kuzipunguza kila baada ya wiki tatu...
ukiwa na mzura kama sio muajiriwa itakua gud zaid maana zitakua haraka na hazitaungua kwa jua......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…