Njoo kwenye litimu likubwa linaitwa SimbaHamjambo wakuu nimeskia ligi kuu ya tz ina mvuto wa mpira ajabu wao unapendeza na umeekezwa sana mno si kama ligi kuu yetu ya kenya(KPL) haina mvuto nataka kuanza kuishabikia timu za Tz nimeskia habari za YANGA,SIMBA na AZAM but i dont'know what to select between those teams and others please help me wakuu.