Nataka kuanza kushabikia mpira wa Bongo. Nishaurini timu gani nishabikie kati ya Simba Yanga au zote

Nataka kuanza kushabikia mpira wa Bongo. Nishaurini timu gani nishabikie kati ya Simba Yanga au zote

Kama unataka kuwa na Uzima mbali na magonjwa, Furaha na sio Huzuni, Upendo na sio Chuki, Akili na sio Ujinga basi Shabikia YANGA

Huko kwingine utakuwa kwa Stress, Magonjwa au Pressure bure...HAPAFAI
 
Anza kufuatilia mechi zote za Yanga, Simba na Azam..
Fatilia kuhusu kuwajua majina kocha, wachezaji viongozi.
Baada ya muda kidogo katika ufatiliaji wako na kutazama mechi za hizo team mbalimbali ... Taratibu utajikuta Moyo Una marhaba na team Fulani.. kuchagua ww Kwa akili ni Ngumu, Acha marhaba, hisia na Moyo wako viamue...
 
Back
Top Bottom