Mke wangu ananitesa
Member
- Jan 14, 2025
- 43
- 85
Nimekuja hapa Ili kupata ushauri na changamoto ya biashara hii kwa kijana wa kiume, pia chimbo nzuri la kupata bidhaa hii kwa Bei poa kabsa na mtaji wangu ni 200,000 tu.
Ushauri wenu muhimu hasa katika kuwateka wateja nifanyaje na nguvu kubwa niweke sehemu gani Ili nipate faida nzuri na yakueleweka.
Asante na karibuni kwa ushauri
Ushauri wenu muhimu hasa katika kuwateka wateja nifanyaje na nguvu kubwa niweke sehemu gani Ili nipate faida nzuri na yakueleweka.
Asante na karibuni kwa ushauri