Nataka kuanza kuuza chupi za kina dada lakini sina goli, nitaanza na kutembeza

Joined
Jan 14, 2025
Posts
43
Reaction score
85
Nimekuja hapa Ili kupata ushauri na changamoto ya biashara hii kwa kijana wa kiume, pia chimbo nzuri la kupata bidhaa hii kwa Bei poa kabsa na mtaji wangu ni 200,000 tu.

Ushauri wenu muhimu hasa katika kuwateka wateja nifanyaje na nguvu kubwa niweke sehemu gani Ili nipate faida nzuri na yakueleweka.

Asante na karibuni kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…