Nataka kuanza kuuza juisi na maziwa bar, ushauri wenu tafadhali

Nataka kuanza kuuza juisi na maziwa bar, ushauri wenu tafadhali

Aziwero

Member
Joined
Jan 16, 2017
Posts
15
Reaction score
22
Habari wanajukwaa.

Kwa muda kidogo nimekua nikifuatilia sana biashara ya juice na maziwa imekua ikinipendeza sana na nataka kuona kama naweza nikaimudu! Naomba msaada wa kujua vitu muhimu vinavyohitajika kwa hiyo biashara na gharama zake kwa ujumla!

Ahsanteni
 
Mfollow Kashogy Juice Bar Insta. urudi hapa utuambie ulichoona!
 
Mkuu kwamba unataka kututoa lock walevi hapo hapo Bar. ..haya bana
 
Jiuce na maziwa Bar siyo mahali pake...
 
Back
Top Bottom