Habari wanajukwaa.
Kwa muda kidogo nimekua nikifuatilia sana biashara ya juice na maziwa imekua ikinipendeza sana na nataka kuona kama naweza nikaimudu! Naomba msaada wa kujua vitu muhimu vinavyohitajika kwa hiyo biashara na gharama zake kwa ujumla!
Ahsanteni