Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

Moussa21

Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
52
Reaction score
16
Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. Ningependa kushuhudia ufugaji wa wengine unavyoendelea na kupata ushauri kutoka kwa mfugaji mwenyewe ili niweze kujifunza vizuri zaidi, Tafadhali kama kuna mfugaji wa kuku wa kienyeji aliepo Iringa naomba tuwasiliane apa chini.
mussah1993@gmail.com
 
Waliowahi kufuga wewe huwahitaji bali wanaofuga.Usiwe unajilimit kupata ushauri utakosa mengi.Wewe weka swali pokea kila ushauri kisha chuja. Hata hivyo mada za kuku humu in nyingi zimewahi jadiliwa.
 
Nina tetea mmoja nafugia sebuleni kwangu, naruhusiwa kukomenti hapa?
 
Sijapangilia vizuri, lakini chukua yatakayo kusaidia .
Hapa nakwambia ninavyofanya mimi sawa?.
Nafuga kuku wa kienyeji aina ya kuchi. Kwanini kuchi? Hawa majogoo hua yanakuwa makubwa pia mazito kiasi hata mtu akija bandani ukimwambia huyu jogoo nauza elfu 18, lazima akupe pesa haraka haraka. Uzito anaweza fika mpaka kilo 3.5 au 4.(hapa ndio kwenye pesa ukiwa na majogoo wengi) kwasababu mnadani wanauzika kwa haraka.

Matetea siuzi. Tetea wa kuchi hua sio wakubwa kivilee. Sokoni kwenye minada nauza elfu 11, 12,13, ili niwahi kumaliza. Pia tetea ninao uza ni wale ambao wameshataga zaidi ya misimu mi 5. Tetea wangu wanauwezo wa kutaga mpaka mayai 21.

TIBA. Mara ya kwanza ilikua ni changamoto kwasababu sikua na udhoefu. Niliwahi kupoteza vifaranga 150 ndani ya wiki moja. Nadhani nilikosea. Vilipototolewa. Ndani ya siku 2 nilivipa chanjo ya matone. Daah vilikufa balaa.
Msimu mwingine, kabla ya kuvipa chanjo niliambiwa niviache mwezi mzima ndio nivichaje. Imesaidia.
Kuku wakubwa walianza kukohoa lakini kuharisha. Nilitumia dawa za aina mbali mbali madukani lakini hawakupona. Nikaenda wizara ya mifugo kuna jamaa aliniambia tumia dawa za binadamu kuwatibu. Kweli nilifanya hivyo wakapona na mpaka leo ndio tiba zangu na kuku hawafi.
Nadhani kwenye baadhi ya maduka ya dawa za mifugo kuna mchezo wanaufanya. Hata humu Jf nilipata kusoma comment kwenye mambo ya ufugaji kuku. Jamaa alisema ukianza kutumia dawa za madukani kwa kuku, utapata vifo vingi sana. Ni kweli.

Masoko hua nauza kwenye minada( kwasababu hua nataka mambo ya cash). Pia ukija nyumbani na kuuzia. Ukitaka wengi kwa mara moja ikubali tufanye biashara ya cash.

Chakula wanakula mabaki ya vyakula(ugali, wali) natoa migahawani, msibani na sherehe.
Lakini nanunua pumba, uduvi , dagaa wachafu, mashudu, mifupa na damu. Nawachanganyia. Vifaranga chakula nanunua mashine wanapo saga na kuchanganya.

Nikifikisha kuku wakubwa 300. Nauza kuku 200 mpaka 250, nabakisha 50 au 100 matetea na jogoo wachache mbegu nzuri. Vifaranga na kuku ambao bado hawajakomaa vizuri naedelea kuwakuza. Malengo yangu kwa mwaka niuze kuku elfu 2. Kuna mwaka nafikisha malengo na kupita kidogo lakini pia kuna mwaka sifikii lengo kwasababu ya changamoto mbali mbali.
Mnadani naenda na kuku 15 mpaka 20. ( Kwa wiki naenda mara moja mnadani kwasababu mnada ambao kuku wanauzika sana ni wa jumapili.Nauza Fasta kisha naendelea na mishe zangu nyingine.
 
Usafi wa banda ni muhimu sana . Fagia baada kila siku. Pia hakikisha kuku wanakunywa maji masafi. Usisahau kuwapa vitamin.
 
Niachemimi naomba uweke picha ya hao Kuku aina ya kuchi tafadhali. Niliambiwa ni wazuri natamani niwone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aksante kwa uzi huu, naomba kujua unapatikana wapi na natamani hapo baadae kidogo kuanzisha shamba langu dogo la ufugaji wa kuku wa kienyeji aina ya kuchi hivyo ningeomba mawasiliano yako ya simu ndugu. Namba yangu ni 0754496249 na natarajia kuweka shamba langu Dar
 
Kuku wako unawapa dawa ipi ya binadamu???
Sijapangilia vizuri, lakini chukua yatakayo kusaidia .
Hapa nakwambia ninavyofanya mimi sawa?.
Nafuga kuku wa kienyeji aina ya kuchi. Kwanini kuchi? Hawa majogoo hua yanakuwa makubwa pia mazito kiasi hata mtu akija bandani ukimwambia huyu jogoo nauza elfu 18, lazima akupe pesa haraka haraka. Uzito anaweza fika mpaka kilo 3.5 au 4.(hapa ndio kwenye pesa ukiwa na majogoo wengi) kwasababu mnadani wanauzika kwa haraka.

Matetea siuzi. Tetea wa kuchi hua sio wakubwa kivilee. Sokoni kwenye minada nauza elfu 11, 12,13, ili niwahi kumaliza. Pia tetea ninao uza ni wale ambao wameshataga zaidi ya misimu mi 5. Tetea wangu wanauwezo wa kutaga mpaka mayai 21.

TIBA. Mara ya kwanza ilikua ni changamoto kwasababu sikua na udhoefu. Niliwahi kupoteza vifaranga 150 ndani ya wiki moja. Nadhani nilikosea. Vilipototolewa. Ndani ya siku 2 nilivipa chanjo ya matone. Daah vilikufa balaa.
Msimu mwingine, kabla ya kuvipa chanjo niliambiwa niviache mwezi mzima ndio nivichaje. Imesaidia.
Kuku wakubwa walianza kukohoa lakini kuharisha. Nilitumia dawa za aina mbali mbali madukani lakini hawakupona. Nikaenda wizara ya mifugo kuna jamaa aliniambia tumia dawa za binadamu kuwatibu. Kweli nilifanya hivyo wakapona na mpaka leo ndio tiba zangu na kuku hawafi.
Nadhani kwenye baadhi ya maduka ya dawa za mifugo kuna mchezo wanaufanya. Hata humu Jf nilipata kusoma comment kwenye mambo ya ufugaji kuku. Jamaa alisema ukianza kutumia dawa za madukani kwa kuku, utapata vifo vingi sana. Ni kweli.

Masoko hua nauza kwenye minada( kwasababu hua nataka mambo ya cash). Pia ukija nyumbani na kuuzia. Ukitaka wengi kwa mara moja ikubali tufanye biashara ya cash.

Chakula wanakula mabaki ya vyakula(ugali, wali) natoa migahawani, msibani na sherehe.
Lakini nanunua pumba, uduvi , dagaa wachafu, mashudu, mifupa na damu. Nawachanganyia. Vifaranga chakula nanunua mashine wanapo saga na kuchanganya.

Nikifikisha kuku wakubwa 300. Nauza kuku 200 mpaka 250, nabakisha 50 au 100 matetea na jogoo wachache mbegu nzuri. Vifaranga na kuku ambao bado hawajakomaa vizuri naedelea kuwakuza. Malengo yangu kwa mwaka niuze kuku elfu 2. Kuna mwaka nafikisha malengo na kupita kidogo lakini pia kuna mwaka sifikii lengo kwasababu ya changamoto mbali mbali.
Mnadani naenda na kuku 15 mpaka 20. ( Kwa wiki naenda mara moja mnadani kwasababu mnada ambao kuku wanauzika sana ni wa jumapili.Nauza Fasta kisha naendelea na mishe zangu nyingine.
 
Hao kuchi wawe original ukipata wale wa kisukuma ni hasara miguu inakuwa mirefu haswa hadi wanashindwa kupanda mitetea
 
Mkuu uko wapi? Nahitaji kuku kwa ajili ya mbegu. Cash cash mkuu tufanye biashara.
 
uko wap kiongozi??
 
Kuku hao 2000 wanakaa kwenye banda lenye ukubwa gani?
 
Mkuu hayo majogoo unamudu vipi kuyalisha na kupata faida? Majogoo yanakula aisee,naomba unifafabulie vizuri ratio ya chakula kwa jogoo mmoja mpaka anakomaa, je unawafungia tu au unawaruhusu wazurure.Af nifanyie mpango wa mayai ya kuuchi kama itawezekana kuanzia mwezi wa sita nataka nianze kuangulisha vifaranga.
 
Back
Top Bottom