Yule mzungu amejipanga Sana kufanya mapinduzi katika biashara ya kuku na chakula Chao.Kuna mdau humu aliwata Silverlands Iringa, nimetembelea Silverlands Poultry Training Centre
View attachment 2269025
Labda walipanga kumchafulia biashara mwenzaoYule mzungu amejipanga Sana kufanya mapinduzi katika biashara ya kuku na chakula Chao.
Hao jamaa wa kwenye bandiko lako, hauhitaji digrii kujua Kama ni matapeli. Maana namba za simu hizo zote ni moja hiyo hiyo kwa mikoa yote!