Why computer na sio nyanya viazi au mchicha ?
Sababu nauliza ni kwamba hadi umechagua computer umeona kwamba soko lipo na wapi utanunua, hakuna biashara mbaya huenda ukashindwa kuuza ice north au south pole lakini jangwani ukapata pesa.., kwahio kama huko kuna demand na unao uwezo wa kusupply hata kama unauza ice kwa eskimos utapata pesa.....