heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Wasalaam
Nilikuwa nadiscuss na dada angu wa faida kuhusu kuanzisha platform ya kuakutanisha watu wenye vipato mbali mbali hasa kipato cha kati na chini ,ila wana uhakika wa kipato hata kiduchu na ni waaminifu,
Hii platform itaenda na wakati mtu akijisajili anajisajili na details zake ikiwemo anuani ya mtaa na nyumba anayoishi ,ikiepo na picha yake halisi akiwa ktk eneo verification itahusika zaidi kucomfirm ilo eneo analoishi,
Kwasababu anauani za makazi zitarahisisha mambo mengi basi hili litafanikiwa zaidi,
Platform/app itakuwa inahusiana na kutimizia watu wa jinsia zote mahitaji yao ya mavazi na vitu vya nyumbani kwa kuanzia, uko mbeleni itakuwa na malazi pia (.mfano nyumba inahitaji furniture,mapambo, au finishing) ila hela yako haitoshi tunakuongezea unalipa kidogokidogo
Hii itakuwa ni kuuuza na kukopesha ,nguo au viatu hasa hizi new products na nyinginezo, kama wanavyofanya hawa WAHA wa kigoma,
Unaingia ktk app unachagua bidhaa either ununue au ukope, then utalipaje kwa muda gani,
Kwa kuanzia unaweza kopa kuanzia bidhaa za elfu hamsini kadri unavyokuwa muaminifu
Pia kuna wale vijana ambao wanaanza kujitegemea na atakuwa na mahitaji muhimu ya ndani, kama Kitanda, mashuka, jiko, n.k au hana kabisa kitu na anataka kujitegemea ila anakodi ya miezi 6+ na analipa ili tupate location ya anapoishi ,huyo tunamkopesha na analipa taratibu kwa makubaliano
Hii app pia itawasaidia wale ambao wanahitaji sare zile za kina mama(madela kwa shughuli )
Pia itasaidia wale wakinamama wanaojishughulisha na wanahitaji mtaji(not hard money) wa kuwapush mfano mama ntilie anahitaji mafuta mchele n.k anaenda kwa mangi anaagiza then tunamlipa mangi kwa Tigopesa au njia itakayokuwa sahihi ili apate mzigo wake kwa urahisi,
Pesa tuliyoplan kuinvest ni ml kadhaa kwa kuanzia kata tunayoishi then tunapanda taratibu ili kujuwa changamoto na baridi
Kwakuwa tumeish ktk mazingira ya kiuswahili kwa namna moja ama nyingine changamoto tunazijuwa ,usumbufu ,utapeli,
Hii ni side hustler ila chanzo cha pesa ni forex na stock trading