Nataka kuanzisha biashara ya kukamua alizeti pamoja na kuuza vinywaji

mwanambulu

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
59
Reaction score
27
Ni imani yangu kuwa jukwaa hili ina wazoefu katika kila kipengele fulani cha biashara.
Naomba kushauriwa nataka kuanzisha biashara ya;
1. Mashine ya kukamua alizeti- nataka nifugue Dodoma, mwenyewe uzoefu anisaidie kujua vitu vinavyohitajika na garama zake
2. Biashara ya vinywaji baridi za jumla,(soda, maji na juice) nataka kufungua Kimara- DSM, - nataka kupata wale wanaosambaza soda na maji
 

=> Kuhusu biashara ya vinywaji tafadhali fuatilia maoni na michango hapa
Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vile vya kawaida)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…