Pallu wa Pallu
Member
- Jan 6, 2015
- 75
- 33
Wadau wa JF,
Naomba kujua changamoto za kuanzisha biashara ya kuuza na kununua asali hususan masoko ya ndani na nje ya nchi-vile vile namna ya kupata mikopo ya muzinga ya asali.
Sent using Jamii Forums mobile app