Nataka kuanzisha biashara ya kuuza baby diapers (Pempas za watoto)

Mudhamil

Senior Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
159
Reaction score
89
Habari zenu wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyosema apo juu, naomba kujua faida zake na changamoto zake hii biashara ya baby diapers (Pempas watoto) kwa mkoa wa Dar na mbinu gani niweze kutumia ili nifanikiwe kupitia hii biashara.

Ahsanteni unaweza kuwatag watu wengine wenye ujuzi wa hii biashara pia nao waje watupe ujuzi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…