Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Tafta watjea wa 3, wauzie lipstixk zilizopo humu dsm kwanza. Angalia usawa ukoje. Alaf agiza.Hellow!
Naomba msaada wenu nataka niwe naagizia lipsticks then niwe naziuza hapa dar.Naombeni ushauri kwa wenye experience
Thanks loveTafta watjea wa 3, wauzie lipstixk zilizopo humu dsm kwanza. Angalia usawa ukoje. Alaf agiza.
acha wivu usiokua na tija kama angekua na shida ya kuuza pemba si angeaweka thread yenye head inayosomeka kuwa NATAKA KUANZISHA BIASHARA KA KUUZA PEMBA/UDONGOBora uza pemba
Am familiar with it.......tatizo je nikileta nifanyaje niweze kupata watejaFirstly, you have to sell something you are familiar with.
Do you use lippies? Do you know the types of lippies? Creamy, Matte etc?
Do you know which colors suit what complexions?
I think you have an idea now.
Make sure you sell something nice and the customers will stay loyal.
Thanks for your support......kuanzia mwezi wa saba tayari mzigo utakuwa umefika.....i will let you knowFanya mpz mim pia ntakuchangia achana nao wanaoropoka km wamekatika kichwa
OkyThanks for your support......kuanzia mwezi wa saba tayari mzigo utakuwa umefika.....i will let you know
Oya mbona umepanic kike ivyoacha wivu usiokua na tija kama angekua na shida ya kuuza pemba si angeaweka thread yenye head inayosomeka kuwa NATAKA KUANZISHA BIASHARA KA KUUZA PEMBA/UDONGO
Am familiar with it.......tatizo je nikileta nifanyaje niweze kupata wateja
Thanks.....be blessedAnza na Instagram page yako au marafiki zako wa karibu,..biashara Kama izi zinaitaj network,so tool yako kubwa must be WOM watu wakujue wawambie wenzao,taratibu utafanikiwa kila LA heri,
Hellow!
Naomba msaada wenu nataka niwe naagizia lipsticks then niwe naziuza hapa dar.Naombeni ushauri kwa wenye experience
Labda baadae kabisa kwa sasa hapanaWanawake wa Dar ni wazuri,kwanini usipeleke hizo [emoji168] lipstick kwa kina Muraa na ngosha nao wapendeze?
Hakikisha bei inafanana na kkoThanks love
Asante sana loveJitahidi bei iendane na quality na hapa mwanzo usilenge sana kupata faida jijengee wateja ambao wataridhika na bidhaa zako hao ndio watakusaidia baadae.
Leta brands tofauti tofauti na bei tofauti maana sio kila mtu anaeza kupaka MAC and the likes..
Wateja wengi wapo huko insta na and fb.
All the best
Kama bei gani nifanye?Hakikisha bei inafanana na kko