Nataka kuanzisha biashara ya Mabaibui

Nataka kuanzisha biashara ya Mabaibui

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari jF

Nina mtaji kama 1m. Nataka kuanza biashara ya mabaibui ya mtumba.

Nipo Dar es Salaam

Naomba anaejua ABC za biashara hii anisaidie
 
Back
Top Bottom