Dr wa Kaliua JF-Expert Member Joined Sep 20, 2020 Posts 1,634 Reaction score 3,833 Jun 6, 2023 #1 Habari jF Nina mtaji kama 1m. Nataka kuanza biashara ya mabaibui ya mtumba. Nipo Dar es Salaam Naomba anaejua ABC za biashara hii anisaidie
Habari jF Nina mtaji kama 1m. Nataka kuanza biashara ya mabaibui ya mtumba. Nipo Dar es Salaam Naomba anaejua ABC za biashara hii anisaidie
Sister Abigail JF-Expert Member Joined Sep 2, 2020 Posts 2,886 Reaction score 9,088 Jun 6, 2023 #2 Mzigo unachukulia wapi?
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 8,860 Reaction score 11,554 Jun 10, 2023 #3 Dr wa Kaliua said: Habari jF Nina mtaji kama 1m. Nataka kuanza biashara ya mabaibui ya mtumba. Nipo Dar es Salaam Naomba anaejua ABC za biashara hii anisaidie Click to expand... Pesa ipo si unajua hela za wakina mama huwa hazina stress. Anyway nicheki nikuagizie za kutoka Dubai Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Dr wa Kaliua said: Habari jF Nina mtaji kama 1m. Nataka kuanza biashara ya mabaibui ya mtumba. Nipo Dar es Salaam Naomba anaejua ABC za biashara hii anisaidie Click to expand... Pesa ipo si unajua hela za wakina mama huwa hazina stress. Anyway nicheki nikuagizie za kutoka Dubai Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app