Sijakuelewakaribu kama hujawahi kufanya biashara hio ..karibu na usihofu kitu chochote sikia hio sauti inayokwambia fungua biashara...kuhusu kupata watu wa kukusanyia utakuwa unawatumia hela na kukutumia mzigo au sio...
Samaleko!Salamu zenu Wadau, binafsi ni mchakalikaji na hivi karibuni nimepata mtaji kama milioni 6 hivi, mawazo yangu ni kufungua biashara ya kuuza mchele kutoka Mbeya, Moro,Tabora kwenda zanzibar...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] Daaah zenj beat hiyoSamaleko!
Sheik wewe kwanza ni nchogoo weye...
kutuma hela....kupokea mzigo....kama huna cha kupoteza hauitaji research...Sijakuelewa
Samaleko!
Sheik wewe kwanza ni nchogoo weye.
Tutakususia nchelewa wako weye hutaamini utakula mwenyewe huo.
Kuanzia darajan hadi mwembe ladu hakunna atenunua huo nchele!
Hakikisha wewe sio mtoto mchele mcheleSalamu zenu Wadau, binafsi ni mchakalikaji na hivi karibuni nimepata mtaji kama milioni 6 hivi, mawazo yangu ni kufungua biashara ya kuuza mchele kutoka Mbeya, Moro,Tabora kwenda zanzibar.
Tayari nina watu wa kunikusanyia mchele na unapatikana sana. Naomba mawazo yenu, ushauri na changamoto zilizopo kuvusha mchele zanzibar.
Malengo ni kuwa supplier mkubwa wa mchele visiwani Zanzibar.