mzee wa magumashi
Senior Member
- Oct 10, 2012
- 137
- 44
Wakuu ni matumain YAngu mupo salama.ili kupambana na hali zetu nitaka kujikita katika biashara ya mitandao ya simu(Wakala ambapo nitafanya huduma zote za kipesa na kuswapu Lain naomben uzoefu wenu. Na gawio likoje kwa muda gani hilo gawio!