mzee wa magumashi Senior Member Joined Oct 10, 2012 Posts 137 Reaction score 44 Dec 21, 2017 #1 Wakuu ni matumain YAngu mupo salama.ili kupambana na hali zetu nitaka kujikita katika biashara ya mitandao ya simu(Wakala ambapo nitafanya huduma zote za kipesa na kuswapu Lain naomben uzoefu wenu. Na gawio likoje kwa muda gani hilo gawio!
Wakuu ni matumain YAngu mupo salama.ili kupambana na hali zetu nitaka kujikita katika biashara ya mitandao ya simu(Wakala ambapo nitafanya huduma zote za kipesa na kuswapu Lain naomben uzoefu wenu. Na gawio likoje kwa muda gani hilo gawio!
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,253 Reaction score 22,843 Dec 21, 2017 #2 Subiri hapo wanakuja