Nataka kuanzisha gazeti/magazine, Nifanyeje?

Mtu mwema

New Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Wadau naomba mnijuze, nina mpango wa kuanzisha jarida (Magazine) hapa dsm. Je utaratibu wake wa usajili upoje?
 
mtu mwema na mimi nina ndoto hiyo. tuungane?
 
Wadau naomba mnijuze, nina mpango wa kuanzisha jarida (Magazine) hapa dsm. Je utaratibu wake wa usajili upoje?

Mkuu hayo ndo mambo yetu kama vipi pitia huu uzi niliwahi kuuweka siku za nyuma na kama utahitaji consultation yoyote basi nitakufanyia bure unaweza kunitumia number yako nikakupigia au kama unataka kushare na jukwaa basi tupia maswali yoyoyote nitayajibu kwa manufaa ya wengine pia

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-ndoto-ya-kuanzisha-magazine.html#post8630272

Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…