Nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha chaki, Je, soko likoje?

Wasudi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
226
Reaction score
223
Sawa na mada hapo juu napenda kuanzisha kiwanda kidogo cha chaki swala la soko lipo. Mwenye uzoefu na hii inshu anijuze jinsi ya kupata mashine nzuri za kisasa, wapi napata material, vifungashio imara bora na vya kisasa, pia changamoto zake. Pia itanipasa kuwa na nyumba eneo la vyumba vingapi kwa hii kazi.
 
Nimekua nikipita hapa naona pako kimya, mimi nahitaji zaidi kujua kuhusu vifungashio
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…