Nataka kuanzisha Kiwanda kidogo cha Maji ya kunywa

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
wadau naompango wa kuanzisha kiwanda kidogo cha maji ya kunywa huku mikoa ya kusini,naulizka ule mtambo wa kuchemsha na kuchuja maji pamoja na kuyafunga kwenye makopo unauzwa wapi na unaweza kuwa kuwa bei gani.
gharama za chupa za maji viwandani je wanatengenezea bei gani?
naombeni msaada plz
 

Ni dhahiri hujui unachoongea. Nani kakwambia maji yanachemshwa? Wewe Fanya biashara saizi yako: ya kuuza vitumbua
 
 
Ulifanikiwa?
 
Ni dhahiri hujui unachoongea. Nani kakwambia maji yanachemshwa? Wewe Fanya biashara saizi yako: ya kuuza vitumbua
unaweza kuta ndio msomi hapa bongo haaaaaaaaaa. hata Jack ma alikua hajui programming na mambo ya IT kihivyo lakini alianzisha Alibaba na imefanikiwa. wazo ndio chanzo cha biashara yeyote hata kukatishana tamaa
 
Hapo unachohitaji kuandikiwa ni business plan. Uko wapi tukuandikie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…