Nataka Kuanzisha kiwanda kidogo cha Pombe aina ya Gin

Mel James

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
356
Reaction score
290
Habari!

Wadau ni procedure gani unatakiwa kuzifuata kwa ajili ya kuanzisha kiwanda kidogo tu kwa ajili ya kutengeneza pombe aina ya gini. Kama zile ambazo zipo mtaani kina shujaa na wengine.

Msaada wa procedures na gharama zake asante.
 
Jiandae kuwa na mtaji wa kuanzia ml 300 ,mitambo tu zaidi milioni 100 ,kuna jamaa yangu wa smart Gin nilimuona alivyokuwa ana strugle hadi bidhaa kuwa mtaani kiujumla kuna procedure ndefu sana.
Asante mkuu
 
Habari!

Wadau ni procedure gani unatakiwa kuzifuata kwa ajili ya kuanzisha kiwanda kidogo tu kwa ajili ya kutengeneza pombe aina ya gini. Kama zile ambazo zipo mtaani kina shujaa na wengine.

Msaada wa procedures na gharama zake asante.
Mimi ni mtaalam wa mashine za kuchuja maji na kujaza pombe Kali nitakutengenezea mashine usijali piga simu 0673315821
 
Attachments

  • IMG_20240712_145447_507.jpg
    2.4 MB · Views: 44
  • IMG_20240405_104646_535.jpg
    4.2 MB · Views: 47
  • IMG_20240708_181542_061.jpg
    2.2 MB · Views: 36
mkuu mpaka hapo umeshashindwa....hivi viwanda huwa vinaanzishwa halafu taratibu zingine zinakuja baadaye ukitaka mpaka uwe na nini na nini aisee hutaweza kufungua...we anza wakija kukukamata ndiyo watakwambia nini kinahitajika
 
Sijakuelewa!
 
kama hujamuelewa alichokueleza basi achana na hiyo biashara
 
Wadau tumefanikisha shuguli ya kufunga mashine bhongera abati Kwa mteja wetu wa kutengeneza pombe Kali na mambo ya leseni zote sana never gin babati kwaraa
 
Attachments

  • IMG_20240712_145417_868.jpg
    2.6 MB · Views: 35
Pia tumefanya kazi Nzuri ya mashine ya kuchuja maji na kujaza na kupooza maji kigamboni dar.
 
Attachments

  • IMG_20240806_185526_596.jpg
    2.7 MB · Views: 29
  • IMG_20240714_095146_211.jpg
    3.3 MB · Views: 33
  • IMG_20240806_165734_123.jpg
    2.7 MB · Views: 31
Pia Kwa wale wa viwanda vidogo vya lambalamba tuna mashine oia
 
Attachments

  • Screenshot_20240522-225706.jpg
    398.9 KB · Views: 28
  • Screenshot_20240522-225524.jpg
    412 KB · Views: 26
  • Screenshot_20240522-225254.jpg
    333.4 KB · Views: 32
Mkuu honger kwanz Kwa hyo hatua kwasabab wazo tu kwnz ndo kitu kikubwa.zen pamban mtu wngu achan na hao wangex..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…