Edwin billionaire
Member
- Mar 1, 2024
- 30
- 4
Tupigie simu utapata mashine na ushauri wa kutosha.Habari!
Wadau ni procedure gani unatakiwa kuzifuata kwa ajili ya kuanzisha kiwanda kidogo tu kwa ajili ya kutengeneza pombe aina ya gini. Kama zile ambazo zipo mtaani kina shujaa na wengine.
Msaada wa procedures na gharama zake asante.
Njoo ofisini kwetu BOMA ng'ombe Kilimanjaro region utapata ushauri na mashine hapohapo na utaanza usalishaji, usijali tunakujali Kila kitu utapata,mwongozo wa kupata leseni zote tutakusaidia, contact 0673315821 kama hichi hapa ni bei ya chini sana kina blending tenki, machine ya kuchuja maji, na kujaza pombe KaliHabari!
Wadau ni procedure gani unatakiwa kuzifuata kwa ajili ya kuanzisha kiwanda kidogo tu kwa ajili ya kutengeneza pombe aina ya gini. Kama zile ambazo zipo mtaani kina shujaa na wengine.
Msaada wa procedures na gharama zake asante.
Million ishirini na tano tuuGharama nI kiasi gani
umetumia pesa kiasi gani kufikia hapa broNever gin