Nataka kuanzisha ngo ya itakayojihusisha na kuelimisha masomo ya sayansi

Nataka kuanzisha ngo ya itakayojihusisha na kuelimisha masomo ya sayansi

segwanga

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
2,788
Reaction score
729
WAKUU SALAAM
Nina mpango wa kuanzisha NGo itakayojikita kwenye kuelimisha watu kuhusu mauaji ya albino na wazee kwa tuhuma za uchawi yanayokithiri katika kanda ya ziwa.
Kwa nini nimeanika hapa janmvini?
1.Mauaji bado yanaendelea,kifo cha binadamu asiyekuwa na hatia hakikubaliki
2.Nataka kushirikisha wanafunzi wangu waliohitimu katika shule moja huko kanda ya ziwa na sasa wapo wakisoma vyuo mbalimbali hapa nchini.Kwa sababu ni wengi je inakubalika kuwepo na NGO inayohusisha watu wengi (kama 70) hivi? au pengine haikubaliki.Naomba ushauri wenu
 
Back
Top Bottom