Na inalipa sana ukiweza kufsnya marketing vizuri,km ni muajiriwa unaweza kuanza na watu wa oficn kwako,ukapata mvulana na msichana watakaokufanyia marketing kwenye maofisi,madreva tax,wenye magari,unaandaa na vipeperushi,mwanzoni hautapata faida sana,ila ukipata fixed customer at least 100,mzee umeukata,after few years you can shift to broker.
Insurance broker ukiwa mwenyewe office labda na wife,mkasimamia vizuri,hakika utaleta mrejesho hapa mzuri.