Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Habari wana JF Jukwaa la Biashara,
Nina maona ya kumiliki radio yangu na vyombo vingine vya habari ili niwapatie watanzania habari zisizochunjwa hadi kupitiliza, kwa kuanza nahitaji kuwa na Local radio Mjini Dodoma, nahitaji kujua nitahitaji mtaji kiasi ghani na mahitaji mengine hadi radion iwe operational.