Watafute MUVI wapo ofisi za SIDO hapo Pwani ndo wanaoshughulikia kitu kama unachotaka kuanzisha mkuu. P/se then unipe shavu kwani nina kashamba kangu hapo maeneo lakini nimeshindwa kukaendeleza mzee, najua utanibeba kama walivyobebwa watani zangu.
Kama utabebeka kama Watani zako sawa. Wengine hambebeki !!!!!!!!!!!!!!