Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 326
Mm ni mtanzania niliyehitimu elimu ya chuo kikuu muda c mwingi, nimepanga kuanzisha shirika-of course nimeshadraft mpango wangu na iko kwny mchakato, naomba ushauri wa kisheria kuhusu mahitaji msingi, sheria inanidai nn katika uanzishaji wa shirika, pia mambo mengine yatakayonisaidia. Shirika lenyewe litahusika na masuala ya mazingira.
Asanteni wadau
Asanteni wadau