Mm ni mtanzania niliyehitimu elimu ya chuo kikuu muda c mwingi, nimepanga kuanzisha shirika-of course nimeshadraft mpango wangu na iko kwny mchakato, naomba ushauri wa kisheria kuhusu mahitaji msingi, sheria inanidai nn katika uanzishaji wa shirika, pia mambo mengine yatakayonisaidia. Shirika lenyewe litahusika na masuala ya mazingira.
Asanteni wadau
Anayeweza kunipa sheria ya NEMC kuhusu mashirika yasiyo ya kiserikali yanayohusika na mazingira.....
.
..mkuu shirika halijapata jina rasmi kwa sababu halina usajili wala halina online site yoyote kwahyo siwez kusema jina lake kwa sasa bado.