duuuhProfile picture hyo umenichanganya akili yangu 😋
Labda UDOM UDSM wale kina mukandara wanabana sanaLazima upate Political science and public administration
Udom au Udsm
Ndio apply utapataUnaamansha niapply ntapata? Au lazma niwe na diploma yake kwnz?
Uko serious au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo kna nan ao mkandara?
Hapo hajakutana na Dr Kamata, Dr Banna nk ambao majina tu yatampa Head acheUko serious au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]