Nataka kubadili betri ya simu ambalo ni non removable

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,290
Reaction score
2,468
Simu yangu tecno camon cx. Betri yake non-removable 3200 mAh. Nataka niweke 5000mAh, wapi nitapata hii service?
 
Betri huwezi toa 3500 ukaweka 5000 nafasi hiyo hata ndani hakuna ya kubeba betri y 5,000mah. Betri inaongezeka ukubwa kulingana na uwezo iliyonayo, na betri replacement ya simu yako utakuta zote ni size ileile. Kwanza tecno sidhani hata ka wana replacement battery ikifa tupa tu nunua nyingine
 
Nimekusona ndugu
 
Ujuaji bana ni tatizo wataalamu walioweka hilo betri la uwezo wa 3200mah unawaona wajinga
 
Unakosea kusema hivyo. Na inaonyesha una mipaka katika kufikiri. Wanaoroot simu zao nao unawaambiaje? Hivi wewe simu yako si ilikuja na ringtone zake? Kwa nini umebadili na kuweka hizo unazojua wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG_20200430_203346.jpg
 
Unakosea kusema hivyo. Na inaonyesha una mipaka katika kufikiri. Wanaoroot simu zao nao unawaambiaje? Hivi wewe simu yako si ilikuja na ringtone zake? Kwa nini umebadili na kuweka hizo unazojua wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kuniambia pia uko njiani hata kubadili jinsia yako kuwa ya kike?
 
Unakosea kusema hivyo. Na inaonyesha una mipaka katika kufikiri. Wanaoroot simu zao nao unawaambiaje? Hivi wewe simu yako si ilikuja na ringtone zake? Kwa nini umebadili na kuweka hizo unazojua wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika kama unafahamu unachojibu. Kifupi ni kuwa haitawezekana unless uweke hiyohiyi 3000MaH.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom