Nataka kubadili engine ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti

Bila shaka engine code ni 4JX1. Ni engine kichefu chefu sana. Waweza kuweka engine ya isuzu 4JG2. Hapo utaweka engine pekee hakuna kingine utabadilisha. Nimebadili mwaka jana nikapumzika. Bighorn ni mimba!
Asante sana nitazingatia mkuu
 
Pole sana, bila shaka hiyo engine inayokusumbua ni 4jx1 turbo diesel euro Ill,With hydraulic unit injector, hiyo engine kweli ni ya Umeme kila kitu,na inategemea sana sensors, kuna sensor hapo itakuwa imeshachoka ni ya kubadilisha, Mimi ninayo gari kama hiyo, hainisumbui, nitafute kuna hatua kadhaa nitakusaidia.
 
ok mkuu, but kwa kubadiri injini unadhani tatizo linaweza kuwa solved,maana na mimi ninayo kama yako ya urithi sasa kabla hayaja nikuta nibora kifanya kama unavyotaka kufanya
hizi gari either Bighorn au Trooper, zinakuja na diesel engine za aina mbili, ambazo ni 4jg2 na 4jx1,wewe ya kwako ina engine ipi? Kuna engine moja hapo ndiyo inayosumbua sana ambayo ni 4jx1, ila kama gari yako ni diesel 4jg2 hiyo haina tatizo, ni jiwe ngumu sana.
 
Bila shaka engine code ni 4JX1. Ni engine kichefu chefu sana. Waweza kuweka engine ya isuzu 4JG2. Hapo utaweka engine pekee hakuna kingine utabadilisha. Nimebadili mwaka jana nikapumzika. Bighorn ni mimba!
Mkuu gear box yako ni auto au manual? Je kama ni auto inakubari kufika speed 120km/h? Je baada ya kubadilisha engine rpm inasoma vizuri,maana, mkuu hata mimi nina mpango huo wa kubadilisha engine pindi hii 4jx1 itakapo dead.
 
Nipatie mawasiliano yako uko wapi mkuu
 
Mkuu gear box yako ni auto au manual? Je kama ni auto inakubari kufika speed 120km/h? Je baada ya kubadilisha engine rpm inasoma vizuri,maana, mkuu hata mimi nina mpango huo wa kubadilisha engine pindi hii 4jx1 itakapo dead.
Gear box ni manual, shida kubwa ni kugoma kuwaka , unaweza ukaiwasha na kwenda mbali bila ya matatizo yoyote, na engine yake ina nguvu kama kawaida, shida ni pale utakapo izima, ukitaka kuiwasha haikubali tena hadi hata ndani ya masaa matatu hadi hata manne, kiujumla ni hadi ipoe kabisa.
 
Magari ya ISUZU yanasumbua sana. Hasa Isuzu Wizard. Ila nazipenda sana Isuzu Dmax... Ni gari ambayo iko very very comfortable...
 
OK nipe namba yako nitakupigia kuna sensor hapo za kuangalia.
 
yangu ni diesel 4jg2
 
Ndugu hujapata fundi mzuri, Isuzu hazina shida yeyote.

Ni PM nikupe maelezo, ukishindwa niuzie hiyo gari.
 
Fundi mzuri wa haya magari Arusha?. Kwa anayejua na contact zao
 
mkuu fanya edting
 
Bila shaka engine code ni 4JX1. Ni engine kichefu chefu sana. Waweza kuweka engine ya isuzu 4JG2. Hapo utaweka engine pekee hakuna kingine utabadilisha. Nimebadili mwaka jana nikapumzika. Bighorn ni mimba!
Mimba nyingine ni Nissan Fuga engine v25 kizunguzungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…