Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3y engine nzuri. ..not more than 1.6 m.nenda buchosa used parts barabara ya lumumba au jirani na hapo. ..shikanseenNina Toyota 12R Hilux pickup 1ton. Ina bodi na chasis nzuri ila engine imeanza kuchoka. Nataka nibadili niweke petrol engine mpya ya kisasa. Pia iwe inatumia mafuta kidogo. Naombeni ushauri wa aina,bei na inakopatikana
Engine ingia Kariakoo mtaa wa Lindi mzee. UtapataNina Toyota 12R Hilux pickup 1ton. Ina bodi na chasis nzuri ila engine imeanza kuchoka. Nataka nibadili niweke petrol engine mpya ya kisasa. Pia iwe inatumia mafuta kidogo. Naombeni ushauri wa aina,bei na inakopatikana
12r nadhani Wajapan walishaisahau coz ukitaka spare zake genuine hupati lakini 3y unapataTofauti yake na engine 12R ni nini?
Sina jibu kamili lakin kwakuwa zina ukubwa usiotofautiana sana na zote zinatumia mfumo wa cabureter naamini zitakuwa sawa.Ulaji mafuta ukoje ukilinganisha 3y na 12r?