Nataka kubadili injini ya gari

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
Nina Toyota 12R Hilux pickup 1ton. Ina bodi na chasis nzuri ila engine imeanza kuchoka. Nataka nibadili niweke petrol engine mpya ya kisasa. Pia iwe inatumia mafuta kidogo. Naombeni ushauri wa aina,bei na inakopatikana
 
Kwa wanaouza engines na wale mechanics,naombeni ushauri wa aina na wapi nipate. Niko Mwanza.
 
Nina Toyota 12R Hilux pickup 1ton. Ina bodi na chasis nzuri ila engine imeanza kuchoka. Nataka nibadili niweke petrol engine mpya ya kisasa. Pia iwe inatumia mafuta kidogo. Naombeni ushauri wa aina,bei na inakopatikana
3y engine nzuri. ..not more than 1.6 m.nenda buchosa used parts barabara ya lumumba au jirani na hapo. ..shikanseen
 
Tofauti yake na engine 12R ni nini?
 
Nina Toyota 12R Hilux pickup 1ton. Ina bodi na chasis nzuri ila engine imeanza kuchoka. Nataka nibadili niweke petrol engine mpya ya kisasa. Pia iwe inatumia mafuta kidogo. Naombeni ushauri wa aina,bei na inakopatikana
Engine ingia Kariakoo mtaa wa Lindi mzee. Utapata
 
Funga engine ya boat. Ni ya Petrol na haitumii mafuta mengi. YAMAHA is the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…