Nataka kubadili leaving certificate

Nataka kubadili leaving certificate

DUMEGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
499
Reaction score
206
Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante
 
Kwani hizo siku kumi zina tatizo gani ktk maisha yako ya kawida ukiacha vyeti?
 
Sijajua kwa siku hizi ila kipindi mimi namaliza o level, leaving ulikua unairekebishia hapo hapo shuleni kwakua wao ndiyo watengenezaji.

Rudi shule, ingia ofisi ya mwalimu wa taaluma mueleze hilo swala. Ila leaving haina maana yoyote kama una cheti.
 
ujapitia mabonde na milima ndugu yangu ndo maana unasema leaving haina maana.

mtoa Nada nenda shuleni watakurekebishia tu.
 
ujapitia mabonde na milima ndugu yangu ndo maana unasema leaving haina maana.

mtoa Nada nenda shuleni watakurekebishia tu.
Ndiyo nikasema kama una cheti.
Kama huna ni mwokozi wako kwa ajira na mambo ya vitambulisho vya uraia.
 
Mkuu kama una cheti(Academic) Leaving certificate Haina maana yoyote
 
leaving inamilikiwa na shule uliyosoma...
nenda kwa academic mwambie anabadilisha tu tarehe kwa kukupa leaving mpya kabisa
 
Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante
Leaving unapeleka wapi kwani. Hiyo hata ukiichoma haina tatizo. Labda kwa kumbukumbu tu ila sijawahi kuona matumizi yake
 
Back
Top Bottom