........When a man truly loves his woman the only thing he would ever want to change about her is HER LAST NAME...from her own to his!....... Jamani mi nataka mtu wakunipa jina lake!Kigezo ni kimoja tu...AWE NA MAPENZI YA KWELI ambayo ndio yatamsukuma kuniheshimu...kunijali na kufanya kazi kwa bidii ili tuweze kujikimu!
I'm good dearest!How is you?
I didn't say men I said "A MAN"...this particular man with thoughts like mine!! Mmh sio tu mchumba bali mume!I dont think if all men proves their love to a woman that way.
Anyway mabe that is what you know about men
Sasa bibie, na wewe unatafuta MCHUMBA au?
am fine....nashukuru kwa kuongoza njia....sijui kama leo utalala na hizo PM......naomba niwepo katika recruitment team....l.o.l
Hehe dearest we utakua unazipokea...zisizo na mchongo unazipotezea...zile zenye malengo ndo unanisogezea!
I didn't say men I said "A MAN"...this particular man with thoughts like mine!! Mmh sio tu mchumba bali mume!
Lizzy mimi niko tayari kwa moyo mweupe kama sufu safi.... lakini je uko tayari kuwa chini ya huyu bibie niliyenae hapa? Pamoja na wivu alonao mpaka hataki nipige picha peke yangu lakini ameniruhusu kuongeza. Kama uko tayari nijiandae kuja kutambulishwa!!!