klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
kamanda kama poem hazipandi sema nikurushie kitu PM halaf umtupie lizzy usoni. hii CPU nimeishtukia inatafsiri nyimbo za kandabongoman kwa kiswahili halaf inamtupia lizzyMihangaiko ya dunia tu,lakini nakutahadharisha usiridhike na poems za copy and paste lol!
hivi mpaka leo haujui kwamba mimi nikizimia tu basi na JF inakufa. tupo wachache sana tunaoiendesha hii jf, hawa kina uporoto, kaizer ,hashycool, cpu na wewe mnajaza server kwa masredi tu na mchango wenyewe mnatoa hela haitoshi hata kununua condom. khaaaa! jirekebisheni aisee
nikipigwa ban si utanianzishia sredi ya kuniombea? au haunipendi? halaf ukimuona keren happuch naomba umwambie nammisswewe,utapigwa BAN...hutakiwi kutoa siri za PM.....mi kimbia sasa,sitaki shari.....l.o.l
condom.
hivi mpaka leo haujui kwamba mimi nikizimia tu basi na JF inakufa. tupo wachache sana tunaoiendesha hii jf, hawa kina uporoto, kaizer ,hashycool, cpu na wewe mnajaza server kwa masredi tu na mchango wenyewe mnatoa hela haitoshi hata kununua condom. khaaaa! jirekebisheni aisee
unatumia dictionary gani?matusi hayo
sisi tunaochangia kwa direct debit status zetu zinakuwa hazichange. pitia tena rule za JF kamandaKamanda nitake radhi at least nimechangia kiduchu we S.E.Member ina maana hata senti yako haijafika JF badilika mkuu hizohizo za kunywa valu na hapa tupia kidogo.
Jamani Michelle mbona hunipendi siku hizi toka nilivokwambia nitatoka na Liz badala yako au ndio 'hell has no fury like a woman scorned' ?atakuwa na list....yuko kwa process ya kuchagua mmoja....he is taking his time.....9t 9t dearest!!!
Hahaha! hapana mi afadhali niandike vimistari vyangu viwili badala ya ku-plagiarize kazi za watu na kudai yangu.kamanda kama poem hazipandi sema nikurushie kitu PM halaf umtupie lizzy usoni. hii CPU nimeishtukia inatafsiri nyimbo za kandabongoman kwa kiswahili halaf inamtupia lizzy
nikipigwa ban si utanianzishia sredi ya kuniombea? au haunipendi? halaf ukimuona keren happuch naomba umwambie nammiss
bado sijalejea kamili, leo nimepata ka upenyo tu nikaona nije kukutia machoni kidogo na afazali nimekuona. yaani sasa hata nikilog out basi hela yangu ya cafe ishalipa.Klorokwin....have missed you big!...good to see you back!
bado sijalejea kamili, leo nimepata ka upenyo tu nikaona nije kukutia machoni kidogo na afazali nimekuona. yaani sasa hata nikilog out basi hela yangu ya cafe ishalipa.
Hata mimi nimefurahi kuona tabasamu lako,bado sijaamua lako na la pauline lipi zuri zaidi lol!Klorokwin....have missed you big!...good to see you back!
Hata mimi nimefurahi kuona tabasamu lako,bado sijaamua lako na la pauline lipi zuri zaidi lol!
Bado mpendwa...ndo nataka nimalizane nalo mwaka huu!Maombi lazima aisee...asante kwa kunikumbusha!Jamani Lizzy......hivi ni kweli au utani??? Mimi siku zote nawaza kuwa wewe ulishabadili hilo jina la ukoo??
Kama ni kweli, all the best! Usisahau maombi.
kamanda kama poem hazipandi sema nikurushie kitu PM halaf umtupie lizzy usoni. hii CPU nimeishtukia inatafsiri nyimbo za kandabongoman kwa kiswahili halaf inamtupia lizzy
Kabla hujalala weka huo mshahara kwenye soksi chafu alafu kwenye kimalboro ukasokote kabla hujakaweka chini ya godoro!!Tutakumiss mpaka tutakapopata tena malaria!wakuu sasa napotea kimoja. naomba mnimiss especially wewe lizzy na keren happuch kwasababu mimi nikiwa siwamiss nakuwa naonana na daktari ili niwamiss. infakti kuwamiss nyinyi ni moja ya hobbies zangu. kamanda uporoto gud nite aisee, acha nisepe!