he is capable...you will have to see and decide for yourself.....he is not in JF....what should i do????
sasa kuhusu umri what if he is ten years younger Lizzy?
Asante da Michelle kwa kuliona hiloo.. yaelekea atakuja kuwa waziri mkuu mzuri ( mama mwenye nyumba) lol...ngoja niongeze jitihada..lol
CPU CPU.....:rain:
Jamani dearest!Kwani ni midogo?
Hehehe!HivitMpendwa kumbe na wewe ni mgombea!!!?
Kweli kabisa Mpendwa......nimeshangaa sana.....ongeza jitihada tafadhali,manake nawe nimekusoma siku nyingi....mtaendana.....:hand:
Hehehe!HivitMpendwa kumbe na wewe ni mgombea!!!?
Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam!
Wewe si unataka umpe mtoto uliye zaa na hashycool
Mmmmh!
Mpendwa ni mwanaume???? :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
Mpendwa ni mwanaume???? :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
Mlete haraka aanze kunizoea kabisa!
Lizzy my dear utamkubali mme aliyeachika endapo yu serious? mie nilikuwa na mke ila tumetalikiana. unaonaje hapo?Hehe dearest we utakua unazipokea...zisizo na mchongo unazipotezea...zile zenye malengo ndo unanisogezea!
wewe mtoto kweli....huwezi wasoma wagombea hadi saa hizi? mi mbona sa nyingi sana nilishajua...l.o.l