Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 3,705 Reaction score 5,540 Feb 27, 2026 #1 Wakuu habari Nina shida moja hivi, nataka kubadilisha kifurushi cha azam 19,000 kwenda 28,000, nililipia 2 weeks iliyopita Je nafanyaje? najua 19,000 haijaisha Ila nataka niongezee ifike 28,000. Napia kujua imetumika kiasi gani nafanyaje?
Wakuu habari Nina shida moja hivi, nataka kubadilisha kifurushi cha azam 19,000 kwenda 28,000, nililipia 2 weeks iliyopita Je nafanyaje? najua 19,000 haijaisha Ila nataka niongezee ifike 28,000. Napia kujua imetumika kiasi gani nafanyaje?