GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
wadau nahitaji kubadilisha signature yangu. kutokana na kazi ninazofanya kwa sasa napiga signature nying mpaka nachoka, sasa nahitaji kuwa na signature simple tu nyingine.je kuna utaratibu gani. mbali na hilo pia nmeona automatically signature yangu,ya mzee na wadogo zangu zinafanana sana ni kama tulikuwa tuna copiana. na kila mtu anamshangaa mwenzie. nmeona hili pia ni tatizo so nifanye nini ili nibadilishe saini yangu.