saidhafidh
Senior Member
- Apr 10, 2013
- 119
- 8
Mim ni Mtanzania niliepata passport Zazibar lakin kwa sasa natumua chet cha kuzaliwe chengine ambacho baadhi ya taarifa ambazo ni tofaut na kile cha mwanzo nilichotumia kutengezea passport. Jee nifanyeje kwan nataka kubadilisha pia taarufa za hiyo passport na kitambulisho cha mzanzibari mkaazi. Tarifa amvazo ni tofaut kat ya chet kipya na hich nnacho tumia sasa hiv ni Mwaka wa kuzaliwa na jina la mama na sehemu ya kuzaliwa. Mabo yaliomo ktk chet kipya ndio sahihi jee nifanyeje?