Nataka kubadilisha taarifa kwenye Passport yangu

saidhafidh

Senior Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
119
Reaction score
8
Mim ni Mtanzania niliepata passport Zazibar lakin kwa sasa natumua chet cha kuzaliwe chengine ambacho baadhi ya taarifa ambazo ni tofaut na kile cha mwanzo nilichotumia kutengezea passport. Jee nifanyeje kwan nataka kubadilisha pia taarufa za hiyo passport na kitambulisho cha mzanzibari mkaazi. Tarifa amvazo ni tofaut kat ya chet kipya na hich nnacho tumia sasa hiv ni Mwaka wa kuzaliwa na jina la mama na sehemu ya kuzaliwa. Mabo yaliomo ktk chet kipya ndio sahihi jee nifanyeje?
 

Mimi sio mwanasheria wa Idara hiyo, ila kabla ya kwenda huko hebu jaribu kujibu maswali haya:
1. Kwanini uwe na vyeti viwili vya kuzaliwa?
2. Wewe umezaliwa sehemu mbili tofauti na mama zako waliokuzaa ni tofauti?
3. Imezoeleka kuwa kubadilisha taarifa za mtu hufanyika kwenye cheti hichohicho au kukirejesha katika mamlaka ya ofisi husika, sasa kwanini wewe unaendelea kuvimiliki vyote viwili?
4. Je, ni mwanasheria gani aliyekuidhinishia vyeti hivyo?

Haya wengine mnaweza kuongezea ili kumsaidia zaidi...........................

 
Nenda Mahakamani kaape kukana cheti usichokipenda, baada ya hapo nenda uhamiaji ubadilishe taarifa kulingana na mahitaji yako.
 
Miwatamu kamaliza yote. Ukiwa na majibu mujarabu ya hoja hizo waweza kwenda Uhamiaji kifua mbele, vinginevyo you're risking prosecution!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…