Unamchulia hatakaa ajifungue na akijifungua wote mtakuwa na vitambi kama wajawazitoMke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa
naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.
mi naye damu damu atuachaniFanya hizo ndugu Mke wangu mjamzito ,idea nzuri...feels good kuwa na mwanaume aliye this excited kwa mtoto wake ajaye
ata mamako pia ana huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake mna huruma sana
hii we vipiKwa style hii huwezi kuwa gentleman asee,..
ubunifu wa mapenziSasa mkuu na wazazi wenu hasa mama zenu nao wapite sehemu wamevaa matshirt yameandikwa "MKE WANGU NI MJAMZITO" watu watawaelewaje??
Vipisi vya sigala,.hii we vipi
sikupendiVipisi vya sigala,.