Nataka kuchapisha logo ya biashara yangu

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,357
Reaction score
1,596
Hello jamii,

Nimejaribu kugoogle ni wapi naweza kwenda kuweka chapa ya biashara yangu lakini nimekosa nikakumbuka kisima cha maarifa chapchap suala hii ndio mahali pake.

Nina logo yangu nataka nichapishe kwenye kalamu na madaftari (notebook)

Mahitaji:
Kalamu 50
Notebook 50

Kama kuna yeyote anafanya kazi kwenye kampuni husika anaweza kunipa maelezo zaidi au kama kuna anayefahamu chochote vile vile anaweza kunielekeza wapi naweza kumaliza shida yangu hata anuani au website ya kampuni ni vizuri pia.
 
Unachotaka nini ?

Madaftari na Kalamu yenye logo yako au nini ?
 
Ingia Instagram au Twitter,
Search CreativeLab Wanachapa
 
Back
Top Bottom